Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Majuzi nilikuwa matembezini zanzibar, nilichokishuhudia ardhi yao si ya kutosha kwa kilimo kikubwa kile cha kimkakati, ambacho unaweza kuita kama kilimo haswa,
Nikatafakari je haiwezekani kukapatikana vijana 300-500 wa kizanzibar wakaanzishiwa program ya kilimo, aidha Mkoani Morogoro au Tabora, ili vijana wa Kizanzibar nao wasiachwe nyuma, katika program hii adhimu sana, ya kulisha taifa na Watanzania kwa ujumla wake,
Hawa vijana waje bara wajengewe makazi ya kudumu, kwani ni hatari sana kuwaacha vijana wakiwa hawajui wafanye nini, this will ensure!
#stable Zanzibar, peace all time and health future!