Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeye za kwake ananywea bia anataka akakope za wenzake kwa bei rahisiWatu wanawekeza fedha halafu ashushe riba kizembe
Wewe hela yako ni kula bata tu
Subiri, riba zinaendelea kupanda kama kama unaona ni kubwa basi usikope tu
Siasa kitu hatari naweza sema mh Rais alisema ila ikumbukwe ndani ya neno lake kuna mengi.. unajuwa nn? Kasome vyema riba na Uhisilam ndio ujuwe hata hiyo riba anatamani isiwepo nadhani mtafurahi. EndHabari wadau?
Mwenye kujua kwa sasa RIBA mpya za mabenki baada ya tamko la serikali kuiagiza BOT ishushe riba kwa mabenki ili nazo zishushe kwa wakopaji wao, atujuze!
Rudi kwenye njia, toa maelezo kuelekea pointSiasa kitu hatari naweza sema mh Rais alisema ila ikumbukwe ndani ya neno lake kuna mengi.. unajuwa nn? Kasome vyema riba na Uhisilam ndio ujuwe hata hiyo riba anatamani isiwepo nadhani mtafurahi. EEn
Si ndio hicho mkuuKama huna cha kuandika tulia
Hotuba au matamko ya yule mama ukingoja utekelezaji wake utaumiza akili yako. Vitu anaongea kwa nadharia. Anaahidi vitu au huduma kushuka bei na huku bei ya mafuta ya magari inapandishwa, usawaziko huwezi upata.Habari wadau?
Mwenye kujua kwa sasa RIBA mpya za mabenki baada ya tamko la serikali kuiagiza BOT ishushe riba kwa mabenki ili nazo zishushe kwa wakopaji wao, atujuze!
nenda banki husika mkuuHabari wadau?
Mwenye kujua kwa sasa RIBA mpya za mabenki baada ya tamko la serikali kuiagiza BOT ishushe riba kwa mabenki ili nazo zishushe kwa wakopaji wao, atujuze!
Mafuta tuliambiwa kwenye bajeti yatapanda na yamepanda!! Njoo kwenye hojaHotuba au matamko ya yule mama ukingoja utekelezaji wake utaumiza akili yako. Vitu anaongea kwa nadharia. Anaahidi vitu au huduma kushuka bei na huku bei ya mafuta ya magari inapandishwa, usawaziko huwezi upata.
Siku nyingine tumia alama ya kuuliza (?) unapouliza swali. Unakuwa kama unatoa taarifa kumbe unauliza.
Mi nimetoa mtazamo wangu kiongoziTatizo unakuwa hujajibu hoja
Nina wasiwasi na ulichonacho akilini mwako! Huku kuna watu wanaojua mambo mbalimbali kama hujui ni wewe. Wapishe wajuvi wa mambo!nenda banki husika mkuu
sisi sio bank Mkuu
Mambo hayo uyaulizayo ni za kiofisi
na kila offisi in utaratibu wake .
na huku ni Jamii foruma sio Banki