Naomba kujuzwa Sheria ya mikataba ya minara ya simu

Naomba kujuzwa Sheria ya mikataba ya minara ya simu

kelamnyere

Member
Joined
May 16, 2018
Posts
25
Reaction score
19
Habari wakuu naomba msaada wa kujua sheria ya mkataba wa mnara wa simu pale wanapo taka kujenga ktk eneo lako.

Nimeenda mkoani nikuta watu wa minara ya simu wamejenga kwenye eneo la nyumbani ,sasa nikajaribu kuuliza makubariano ya mkataba wa malipo mkoje,sikupata majibu sahihi na tayari walishajenga mnara wao.

Naomba kusaidiwa kuhusu malipo yao yapoje na mikataba yao kisheria inasemaje?
 
Usikubali wajenge mnara wa simu nyumbani kwenu kwani kwa muda mfupi mtafaidi hizo hela wewe na familia yako lakini baadae kuna uwezekano wa kuja kupata maradhi ya saratani yatakayotokana na mionzi inanayotoka kwenye hiyo minara!!

Bahati mbaya serikali imelifumbia macho suala hili kwasababu ya kuwapendelea wawekezaji bila kujali afya za wapiga kura wao!
 
Nasikitika tu kusema kwa awamu hii unaweza ukadhulumiwa na hamna kitu utafanya!
Hakuna Cha awamu, unaweza kidhulumiwa awamu yoyote.

In short, Watu wa minara Ni mabinhwa wa michongo.

Kwanza wakishakulipa wakajua eneo lako linafaa kwa mnara, huwa wanajaribu kukukomalia uwauzie Hilo eneo.

Na maeneo ya Vijiji hayana thamani.

Wakiona umeshtuka wanahama, wanaenda eneo la karibu ambalo siyo lako.

Nazungumzia hili kwa experience. Binafsi, nimewahi kwenda mpaka Ofisi za hao wajenga minara, kule Oyster Bay lakini wote Ni wale wale.

Usikubali wajenge mnara wa simu nyumbani kwenu kwani kwa muda mfupi mtafaidi hizo hela wewe na familia yako lakini baadae kuna uwezekano wa kuja kupata maradhi ya saratani yatakayotokana na mionzi inanayotoka kwenye hiyo minara!!

Bahati mbaya serikali imelifumbia macho suala hili kwasababu ya kuwapendelea wawekezaji bila kujali afya za wapiga kura wao!
Mnatakiwa muhame kabisa mkilipwa
 
Mnatakiwa muhame kabisa mkilipwa
Mijini watu wengi wamepata saratani kutokana na mionzi ya hii minara iliyosimikwa majumbani lakini serikali inalifumbia macho hili tatizo ingawa wagonjwa wanazidi tu kujazana Ocean Road!
Suala la minara ya simu ni lazima serikali iliangalie kwani watu wana angamizwa na saratani!
 
Habari wakuu naomba msaada wa kujua sheria ya mkataba wa mnara wa simu pale wanapo taka kujenga ktk eneo lako...
Ili upate faida,inabidi uwakodishe hilo eneo Ili upate Kodi,tatizo wanaokuja kutafuta eneo huwa Wana Hila,hawasemi wanataka kujenga mnala,wanakuja kama wanahitaji kununua eneo Ili ajenge kibsnda,ukimuuzia tu,kesho mnala unaanza kujengwa,Kodi yake,we ulilipwa milioni 10! Mwenzio atakuwa anapokea milioni 8 kila Mwezi!!
 
Wanasema eti ukiwakodisha wanakulipa kulingana na sehemu husika.

Mijini kuna bei yake na vijijin kuna bei yake pia,so malipo yao kwa mwezi sio chini ya 3.5m.
 
Ili upate faida,inabidi uwakodishe hilo eneo Ili upate Kodi,tatizo wanaokuja kutafuta eneo huwa Wana Hila,hawasemi wanataka kujenga mnala,wanakuja kama wanahitaji kununua eneo Ili ajenge kibsnda,ukimuuzia tu,kesho mnala unaanza kujengwa,Kodi yake,we ulilipwa milioni 10! Mwenzio atakuwa anapokea milioni 8 kila Mwezi!!
Na wale watu walivyo wahuni, ukilipwa sana itakuwa Ni Laki 4 au 5 kwa mwaka.
 
Mijini watu wengi wamepata saratani kutokana na mionzi ya hii minara iliyosimikwa majumbani lakini serikali inalifumbia macho hili tatizo ingawa wagonjwa wanazidi tu kujazana Ocean Road!
Suala la minara ya simu ni lazima serikali iliangalie kwani watu wana angamizwa na saratani!
Watu wenyewe si hawataki kuipisha
 
Back
Top Bottom