kelamnyere
Member
- May 16, 2018
- 25
- 19
Habari wakuu naomba msaada wa kujua sheria ya mkataba wa mnara wa simu pale wanapo taka kujenga ktk eneo lako.
Nimeenda mkoani nikuta watu wa minara ya simu wamejenga kwenye eneo la nyumbani ,sasa nikajaribu kuuliza makubariano ya mkataba wa malipo mkoje,sikupata majibu sahihi na tayari walishajenga mnara wao.
Naomba kusaidiwa kuhusu malipo yao yapoje na mikataba yao kisheria inasemaje?