kelamnyere
Member
- May 16, 2018
- 25
- 19
Hakuna Cha awamu, unaweza kidhulumiwa awamu yoyote.Nasikitika tu kusema kwa awamu hii unaweza ukadhulumiwa na hamna kitu utafanya!
Mnatakiwa muhame kabisa mkilipwaUsikubali wajenge mnara wa simu nyumbani kwenu kwani kwa muda mfupi mtafaidi hizo hela wewe na familia yako lakini baadae kuna uwezekano wa kuja kupata maradhi ya saratani yatakayotokana na mionzi inanayotoka kwenye hiyo minara!!
Bahati mbaya serikali imelifumbia macho suala hili kwasababu ya kuwapendelea wawekezaji bila kujali afya za wapiga kura wao!
Mijini watu wengi wamepata saratani kutokana na mionzi ya hii minara iliyosimikwa majumbani lakini serikali inalifumbia macho hili tatizo ingawa wagonjwa wanazidi tu kujazana Ocean Road!Mnatakiwa muhame kabisa mkilipwa
Ili upate faida,inabidi uwakodishe hilo eneo Ili upate Kodi,tatizo wanaokuja kutafuta eneo huwa Wana Hila,hawasemi wanataka kujenga mnala,wanakuja kama wanahitaji kununua eneo Ili ajenge kibsnda,ukimuuzia tu,kesho mnala unaanza kujengwa,Kodi yake,we ulilipwa milioni 10! Mwenzio atakuwa anapokea milioni 8 kila Mwezi!!Habari wakuu naomba msaada wa kujua sheria ya mkataba wa mnara wa simu pale wanapo taka kujenga ktk eneo lako...
Na wale watu walivyo wahuni, ukilipwa sana itakuwa Ni Laki 4 au 5 kwa mwaka.Ili upate faida,inabidi uwakodishe hilo eneo Ili upate Kodi,tatizo wanaokuja kutafuta eneo huwa Wana Hila,hawasemi wanataka kujenga mnala,wanakuja kama wanahitaji kununua eneo Ili ajenge kibsnda,ukimuuzia tu,kesho mnala unaanza kujengwa,Kodi yake,we ulilipwa milioni 10! Mwenzio atakuwa anapokea milioni 8 kila Mwezi!!
Watu wenyewe si hawataki kuipishaMijini watu wengi wamepata saratani kutokana na mionzi ya hii minara iliyosimikwa majumbani lakini serikali inalifumbia macho hili tatizo ingawa wagonjwa wanazidi tu kujazana Ocean Road!
Suala la minara ya simu ni lazima serikali iliangalie kwani watu wana angamizwa na saratani!
Utaipisha vipi imejengwa uwani kwako?Watu wenyewe si hawataki kuipisha