Mrs makusanya og
New Member
- Jun 20, 2024
- 2
- 4
Kwa kweli inabidi ziwepo shule za watoto watukutu.Habari wapendwa,
Mwenye kujua Shule ya Watoto Watukutu primary naomba mnisaidie niweze kumpeleka ana miaka 16.
Naomba kwa anaejua anisaidie
Za kulipiaKwa kweli inabidi ziwepo shule za watoto watukutu.
Miaka 16 nilikuwa form 4.
Miaka 16 shule ya msingi?Habari wapendwa,
Mwenye kujua Shule ya Watoto Watukutu primary naomba mnisaidie niweze kumpeleka ana miaka 16.
Naomba kwa anaejua anisaidie
ChaiNazijua 2, moja ipo Kilosa yaani kule ukiaka unapigwa stiki za kutosha then unanda darasani, nkitoka mchana tena muda wa msosi unakula stiki bila sababu yaani mpaka muda wa kulala ni stiki kwa kwenda mbele
Nyingine ipo Tabora hii ndio funga kazi
si ushaambiwa mtukutuMiaka 16 shule ya msingi?
Au mbu mbu mbu huyo?
FezaHabari wapendwa,
Mwenye kujua Shule ya Watoto Watukutu primary naomba mnisaidie niweze kumpeleka ana miaka 16.
Naomba kwa anaejua anisaidie
Zote ziwepo. Kuna watoto Wana balaa siku hizi mpaka unajiuliza maswali yasiyo na majibu.Za kulipia
Mbali na utukutu atakuwa mbu mbu mbu tu huyo mwisho wa siku anakaririshwa madarasa kila kukicha.si ushaambiwa mtukutu
Zamani ilikuwepo kule mbeya waulize wadau mwaka 1977 ilikuwepo kule mlimani kwenye baridi Kali sanaHabari wapendwa,
Mwenye kujua Shule ya Watoto Watukutu primary naomba mnisaidie niweze kumpeleka ana miaka 16.
Naomba kwa anaejua anisaidie
Asante sana una mawasiliano Yao niwapigieIko mbeya pale soweto
Ilikuwepo maadirisho kule irambo mbeya ilikuwa chini ya ustawi wa jamii enzi zile daah ile shule ilikua jela ndogo kaka haifai ata mtoto kwenda😀😀😀 maana yake mazingira mmmh,Kama uwezo upo mpeleke shule za dini atabadilika tuuHabari wapendwa,
Mwenye kujua Shule ya Watoto Watukutu primary naomba mnisaidie niweze kumpeleka ana miaka 16.
Naomba kwa anaejua anisaidie