Naomba kujuzwa sifa za kujiunga FFU

Ila hii nchi uwelewa wa watu ni ndogo sana, yaani kuna mtu kama huyu mtoa mada hafahamu kama ffu, ni kitengo tu ndani ya Jeshi la Polisi.
Dah kweli hii nchi wajinga ni wengi sana.
Dah mtoa post I am very sorry nimetokeq kukuonaje sijui Kwa hilo swali lako
 
Mbongo ushaambiwa ukitaka kumnyima maarifa weka kwenye maandishi tu.
Inasikitisha sana.
Ila muulize habari za Udaku za kina Bongo Fleva ama Movie uone anavotiririka.
 
Shoo ya Mmasai uliielewa? Kama ndiyo nijibu nije PM
 
Mbongo ushaambiwa ukitaka kumnyima maarifa weka kwenye maandishi tu.
Inasikitisha sana.
Ila muulize habari za Udaku za kina Bongo Fleva ama Movie uone anavotiririka.
maandishi ya sifa za FFU yapo wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…