Naomba kujuzwa siri iliyopo hapa

Ikimba

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2019
Posts
362
Reaction score
405
Inakuwaje unaandaa chakula iwe wali,ugali au ndizi, unakuta kama ni ugali au kati ya hivyo sahani inakuwa imejaa top lakini Cha hajabu mboga unakuta kwenye bakuli vimnofu 2 na mchuzi ugali mlima unaisha.Naomba kujuzwa siri iliyopo hapa
 
Ugali, wali au ndizi ndio chakula cha kushibisha, mboga ni kichocheo tu cha kulia ugali au wali, ni ajabu kukuta mboga ni nyingi kuliko ugali au wali
 
mi najiulizaga utakuta washkaji wanamsifia mdada eti ohh ana mguu wa bia..mara ana rangi ya mtume sijui....eti ooh ana chura...

Sasa wanavitumiaje hivo vitu????
 
ngoja wapare waje wazee wa pich ya samaki ugalli robo watani zangu
 
Mkiambiwaga tunaishi na mizimu ndo mjue!.. huo ugali unashare na mizimu ya kwenu wanakuachia mboga ila sio mara zote!, subiri nawe zamu yako ya kuwa mzimu itakapofika utapata majibu ya maswali yako..πŸ˜‚
 
Mkiambiwaga tunaishi na mizimu ndo mjue!.. huo ugali unashare na mizimu ya kwenu wanakuachia mboga ila sio mara zote!, subiri nawe zamu yako ya kuwa mzimu itakapofika utapata majibu ya maswali yako..[emoji23]
Wee mbona unanitisha sasa mzee!
 
Mkiambiwaga tunaishi na mizimu ndo mjue!.. huo ugali unashare na mizimu ya kwenu wanakuachia mboga ila sio mara zote!, subiri nawe zamu yako ya kuwa mzimu itakapofika utapata majibu ya maswali yako..[emoji23]
Ila ili swala lako nita muuliza Dr MUSHANA ndo nitajua kama Kuna ukweli
 
Ugali, wali au ndizi ndio chakula cha kushibisha, mboga ni kichocheo tu cha kulia ugali au wali, ni ajabu kukuta mboga ni nyingi kuliko ugali au wali

unakuta kama ni ugali au kati ya hivyo sahani inakuwa imejaa top lakini Cha hajabu mboga unakuta kwenye bakuli vimnofu 2
Picha yajieleza hapo juu.
 
Mboga inaitwa kitoweo Cha kutowesha chakula kikuu.
 
Kuna Mghana nili share nae nyumba back in the days, tulikua tunapika jiko moja na jikoni kulikua na dining table.

Akipika mchuzi wake ulikua una oga, shurti hoho kubwa nyekundu 5 na nyanya kama zote. Enzi hizo wote tuna fight na visa za uwanafunzi. Basi akisonga ugali na bakuli lake la nyama. Alikua ananiambia β€œ the white man makes it cumbersome to stay in here, but look in Africa this bowl of meat could have been for 10 people.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…