IN JESUS WE TRUST
Member
- Jun 14, 2023
- 20
- 11
Iko fire kinoma.Samahan wakuu
Nmechaguliwa kusomea DIT Mining Engineering samahani nilikuwa unaulza ipo je kwa soko la ajira kwa saivi?
Samahan wakuu
Nmechaguliwa kusomea DIT Mining Engineering samahani nilikuwa unaulza ipo je kwa soko la ajira kwa saivi?
Hamna bhana... Just visionYaani ndio umechaguliwa na ndio kwanza unataka ukaripoti na umeanza kujiita Engineer na unafikiria ajira tayari. Haya bana Sawa
Pamoja kakaViwanda ni vingi sana hapa nchini na hawa DP world wataleta mitambo mingi kaka kasome badae unikumbuke
Kivipi kuwa mwalmu kakaUtaishia kuwa mwalimu
M nime graduate Mineral Processing,Udom pia...Ushauri wako aufanyie kazi,wengi njia za kufikia tulipo ni kuanzia chini (asikwambie mtu machimbo kuna connections nyingi kuliko kawaida,ukijitambua lakini)Nimegraduate mining Engineering 2021 Udom, kozi ni nzuri sana shida ni limited number ya migodi mikubwa yani Large scale mines au Wizarani & Tume ya madini, ambazo ndizo zinalipa vizuri. Kikubwa ni kwamba kama huna ramani yoyote we omba Mungu tu pia uwe tayari kujitosa kwenye mashimo ya small scale mines ambayo ni rahisi kuingia lakini usalam wake ni mdogo sana kwa kuwa teknolojia yao ni ndogo unaweza ukapata pakuanzia ukagain yani usiwe muoga.
Pia kuna ishu za blasting ambazo unaweza ukafanya hata kwenye mine sites ambazo sio underground yani open pits au kwenye civil companies zinazofanya quarrying huwa wanaitaji mablaster etc
Basically itategemea unajiposition vipi ila ni sekta ambayo ina uhitaji mkubwa ila shida yake inahitaji uwekezaji mkubwa sana na unaoeleweka tofauti na hapo kazi ni nzito.
Well saidUtaishia kuwa mwalimu
shukran kakaNimegraduate mining Engineering 2021 Udom, kozi ni nzuri sana shida ni limited number ya migodi mikubwa yani Large scale mines au Wizarani & Tume ya madini, ambazo ndizo zinalipa vizuri. Kikubwa ni kwamba kama huna ramani yoyote we omba Mungu tu pia uwe tayari kujitosa kwenye mashimo ya small scale mines ambayo ni rahisi kuingia lakini usalam wake ni mdogo sana kwa kuwa teknolojia yao ni ndogo unaweza ukapata pakuanzia ukagain yani usiwe muoga.
Pia kuna ishu za blasting ambazo unaweza ukafanya hata kwenye mine sites ambazo sio underground yani open pits au kwenye civil companies zinazofanya quarrying huwa wanaitaji mablaster etc
Basically itategemea unajiposition vipi ila ni sekta ambayo ina uhitaji mkubwa ila shida yake inahitaji uwekezaji mkubwa sana na unaoeleweka tofauti na hapo kazi ni nzito.
Pamoja kakaM nime graduate Mineral Processing,Udom pia...Ushauri wako aufanyie kazi,wengi njia za kufikia tulipo ni kuanzia chini (asikwambie mtu machimbo kuna connections nyingi kuliko kawaida,ukijitambua lakini)
Soma kwanza, ajira na mambo mengine baadae.Samahan wakuu
Nmechaguliwa kusomea DIT Mining Engineering samahani nilikuwa unaulza ipo je kwa soko la ajira kwa saivi?
🙏MUNGU KWANZA.....shukranUsiwe na hofu soma kwa bidii.Mimi nilisoma cozi ambayo kila mtu hadi ndugu wanajua haina ajira lakini huwezi amini nilikaa nyumbani miezi mitatu tu nikapata kazi ya kujishkiza na kupitia kazi hiyo nikapata kazi niliyosomea.Kijana muamini Mwenyezi Mungu utafika sehem wew mwenyew utajishangaa umefikqje
sawaSoma kwanza, ajira na mambo mengine baadae.
Hajui kwamba hata akimaliza hiyo miaka minne hastahili na ni kosa kisheria kujiita engineer!Yaani ndio umechaguliwa na ndio kwanza unataka ukaripoti na umeanza kujiita Engineer na unafikiria ajira tayari. Haya bana Sawa