emmarki
JF-Expert Member
- Nov 22, 2012
- 1,001
- 1,430
Mama ni mtu mzima kidogo anaeleka miaka 65. Ana shida mishipa ya miguuni inauma sana na kutokezea kwa juu.
Hospital kaenda kaaimbiwa ana shida ya mishipa kuvimba (varicose veins). Matibabu yake ni either upasuji ambayo kwake yeye anaogopa kulingana na umri wake.
Naomba kufahamishwa food supplement zinzoweza kumsaidia kukabiliana na maumivu au kueeza kuondoa hilo tatizo kabisa.