Atumie pia varicose vein stockingMama ni mtu mzima kidogo anaeleka miaka 65. Ana shida mishipa ya miguuni inauma sana na kutokezea kwa juu.
Hospital kaenda kaaimbiwa ana shida ya mishipa kuvimba (varicose veins). Matibabu yake ni either upasuji ambayo kwake yeye anaogopa kulingana na umri wake.
Naomba kufahamishwa food supplement zinzoweza kumsaidia kukabiliana na maumivu au kueeza kuondoa hilo tatizo kabisa.
Kaka huko Hospitali ndio ungepata maelezo sahihi.Mama ni mtu mzima kidogo anaeleka miaka 65. Ana shida mishipa ya miguuni inauma sana na kutokezea kwa juu.
Hospital kaenda kaaimbiwa ana shida ya mishipa kuvimba (varicose veins). Matibabu yake ni either upasuji ambayo kwake yeye anaogopa kulingana na umri wake.
Naomba kufahamishwa food supplement zinzoweza kumsaidia kukabiliana na maumivu au kueeza kuondoa hilo tatizo kabisa.
Wala nakumbuka nilivyojuaga na depression maisha yangu yakikua kwenye supplementary the whole year.nipe code mkuu
Yeah kiasi chake si mbayazilikusaidia
Mpeleke kwenye Hospitali kubwa ambako kuna vipimo na Maelezo sahihi ya Kibingwa ikiwezekana.wanakuambia atumie mafuta ya kuchua, ameshafanya sana anapata unafuaa wa kutohisi maumivu kwa masaa machache
Inaondoa stress?kivipWala nakumbuka nilivyojuaga na depression maisha yangu yakikua kwenye supplementary the whole year.
Ziko nyingi ila iliyotajwa kwebye huu uzi haipunguzi depression ina kazi nyingine mie nimesema tu umuhimu wa suppplementInaondoa stress?kivip
Mama ni mtu mzima kidogo anaeleka miaka 65. Ana shida mishipa ya miguuni inauma sana na kutokezea kwa juu.
Hospital kaenda kaaimbiwa ana shida ya mishipa kuvimba (varicose veins). Matibabu yake ni either upasuji ambayo kwake yeye anaogopa kulingana na umri wake.
Naomba kufahamishwa food supplement zinzoweza kumsaidia kukabiliana na maumivu au kueeza kuondoa hilo tatizo kabisa.
aiseeVaricose veins: hutokana na valvu zilizoko kwenye mishipa ya veini kushindwa kuhimili kushikilia kolamu ya famu inayorudi kwenye moyo ikitokea mwilini.
Hii husababisha stasis/ mwenendo na kasi ya damu kutokuwa sawa/kupungua na matokeo yake kutuama sehemu husika. Zaidi ya hapo mishipa husika hutanuka na kuleta maumivu na muwasho.
**** sanabu nyingi zinazohusishwa zikiwemo:
*kuongezeka kwa mgandamizo ndani ya mishipa.
*uremavu kwenye kuta zamishipa unaotokana na kasoro za material za ujenzi.
Tiba
Hutegemea na kiasi
1: Dawa ya kulainisha damuya kupaka
2: Soksi za kuvaa zikianzia kwenye sehemu ya kukanyagia mpaka kwenye mapaja.
3: Upasuaji ambao hutegemea na sehemu, ikihusisha kuhamisha mshipa mzima kwenye eneo la ule mbove au ku-bypass au kuondoa bila kuwa na athari yoyote.
Hivi karibuni wataalamu to hospitali ya taifa Muhimbili walikuwa na kliniki iliyohusisha haya mambo.
View attachment 3111462
Compression stocking kwa DSM angalia: Mdee pharmacy, Nakiete phamacy, Shamshudin pharmacy au JD pharmacy.zinapatikana pharmacy gani mkuu