lwa kalolo
Senior Member
- Nov 24, 2014
- 173
- 94
Imekuwa ni kawaida mfanya kazi anapo fukuzwa kazi ktk sekita binafisi mfano ktk migodi anachafuliwa cv zake ktk mtandao kiasi kwamba huwezi kupata kazi mahara pengine sasa naomba kujuzwa kisheria imekaaje hiyo je