Naomba kujuzwa taratibu na haki stahiki kusoma nje ya nchi kwa mtumishi wa umma(mwl.) shahada ya uzamili

NAXFRA

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2011
Posts
392
Reaction score
74
Ndugu wanajukwa natumaini muwazima? Naleta maada kwenu kama wataalamu. mada hii sijaipeleka jukwaa la elimu kwa sababu najua jukwaa hili kunawajuzi na wataalamu waliobobea.

Mimi ni mwalimu nategemea kwenda kusoma nje ya nchi (nchini Uganda) shahada ya pili (uzamili), hii nikulingana na gharama ndogo pamoja na sh. yetu kuwa juu kwa wenzetu jira.

Hivyobasi, sina ufahamu juu ya taratibu na kunufaika toka kwa mwajili wangu kwa gharama tofauti na "tuition fee". Japo nimejaribu kufuatilia "standing order" kunavitu sikuvielewa hasa sitahiki zingine na za familia yangu.

Natanguliza shukrani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…