Naomba kujuzwa taratibu za kusafirisha asali Ulaya

Naomba kujuzwa taratibu za kusafirisha asali Ulaya

nana29

Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
30
Reaction score
16
Habari za wakati huu wana jf.

Naombeni msaada nataka kusafirisha asali nje ya nchi nipeleke Ulaya, je natakiwa kuanzia wapi kufuata taratibu ili nisisumbuliwe bandarini.

Najua jukwaa hili kuna wafanyabiashara hii biashara pia Naombeni muongozo wenu
 
Kama upo Dar kuna TBS au Mpingo House Pale watakupa utaratibu ila juwa kuwa ulaya kuna trade tariff sio poowa
Niliangalia Documentary YouTube how Ulaya inawalinda wakulima wao na bidhaa za Africa na how wanafanya dumping Africa sio poowa
Kila la kheri
 
160000 ÷ 4 = 40000
So kila Lita 5 ni 40000
40000 ÷ 5 = 8000
So Lita moja ni 8000
Kama packages na cost zingine per unit ni 1500+ 8000 = 9500
Mbona Haina faida mkuu?

Je ulaya umepata soko?
Uko wapi?
Unaweza zalisha kiasi Gani walau kwa mwezi?
 
Lita Tano reja reja ni 50000/= Kwa tabora na maeneo ya jirani ikiingia mjini kama dar au miji mingine bei tegemea kuongezeka.
 
Kazame DM ya balozi Togolani anakusaidia kukushika mkono, the guy is very smart na anatoa sana connection
 
Kama upo Dar kuna TBS au Mpingo House Pale watakupa utaratibu ila juwa kuwa ulaya kuna trade tariff sio poowa
Niliangalia Documentary YouTube how Ulaya inawalinda wakulima wao na bidhaa za Africa na how wanafanya dumping Africa sio poowa
Kila la kheri
Asante mkuu lakini pia huko nimepata sehemu wananunua wao alafu wao ndo wanaipaki
 
Ninataka kufuga nyuki, nina pori/msitu zaidi ya eka 50.
Je una utaalam wowote?

Nini huwa inawekwa kwenye mzinga kuvutia nyuki?
Sina lakini wataalamu wa nyuki wapo wengi boss Tatizo watanzania hatutaki kushikana mkono
 
Tatizo la Watanania wanapenda kukurupuka wanahisi kila kitu rahisi tuko milini 60.Unataka soko la nje wakati soko la ndani hujaliweza ,wewe ni mkulima wa asali au ni mununuzi wa asali ,una uwezo wa lita ngapi kwa mwezi au dumu ngapi kwa mwezi ,kuna mambo kibao ya kufanya kujua asali yako quality yake ina ubora gani ,usikurupuke kutaka soko la nje angalia quality ya asali yako kwanza.
 
Back
Top Bottom