Naomba kujuzwa taratibu za kusafirisha asali Ulaya

Tatizo la Watanania wanapenda kukurupuka wanahisi kila kitu rahisi tuko milini 60.Unataka soko la nje wakati soko la ndani hujaliweza ,wewe ni mkulima wa asali au ni mununuzi wa asali ,una uwezo wa lita ngapi kwa mwezi au dumu ngapi kwa mwezi ,kuna mambo kibao ya kufanya kujua asali yako quality yake ina ubora gani ,usikurupuke kutaka soko la nje angalia quality ya asali yako kwanza.
Mkuu unaongea kwa machungu sana
 
Hata ww umekurupuka, mfanya biashara anaangalia soko lenye faida. Achana na mambo ya kutosheleza
 
Habari za wakati huu wana jf.

Naombeni msaada nataka kusafirisha asali nje ya nchi nipeleke Ulaya, je natakiwa kuanzia wapi kufuata taratibu ili nisisumbuliwe bandarini.

Najua jukwaa hili kuna wafanyabiashara hii biashara pia Naombeni muongozo wenu
Hapa watafute wale washkaji wa Swahili honey
 
Back
Top Bottom