Naomba kujuzwa taratibu za kusafirisha asali Ulaya

Mkuu unaongea kwa machungu sana
 
Hata ww umekurupuka, mfanya biashara anaangalia soko lenye faida. Achana na mambo ya kutosheleza
 
Habari za wakati huu wana jf.

Naombeni msaada nataka kusafirisha asali nje ya nchi nipeleke Ulaya, je natakiwa kuanzia wapi kufuata taratibu ili nisisumbuliwe bandarini.

Najua jukwaa hili kuna wafanyabiashara hii biashara pia Naombeni muongozo wenu
Hapa watafute wale washkaji wa Swahili honey
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…