mnyalukoloh
Member
- Jun 8, 2015
- 74
- 31
Msaada, kuna gari inauzwa Zambia na imesajiliwa inapiga kazi. Nikitaka kuileta Tanzania. Naomba kujuzwa utaratibu na gharama ukoje. Aina ya gari ni Rosa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
piteni mnisaidiemsada.
kuna gari inauzwa zambia na imesajiliwa inapiga kazi.nikitaka kuileta tanzania.naomba kujuzwa utaratibu na gharama ukoje.
aina ya gari rosa