Naomba kujuzwa taratibu za kutoa gari Zambia na kuisajili Tanzania

mnyalukoloh

Member
Joined
Jun 8, 2015
Posts
74
Reaction score
31
Msaada, kuna gari inauzwa Zambia na imesajiliwa inapiga kazi. Nikitaka kuileta Tanzania. Naomba kujuzwa utaratibu na gharama ukoje. Aina ya gari ni Rosa.
 
Utaratibu ni ule ule kama unaloingiza kutoja Japan.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…