Kanye2016
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 2,904
- 3,006
Habarini Wakuu,
Kuna shule mpya imefunguliwa huko Kinyerezi ambayo itaanza operation officially kuanzia January 2022.
Shule itakuwa ni ya Pre and Primary School mbeleni itakuwa na secondary pia.
kabla ya kwenda ofisi husika za TRA vingunguti, Mwenye shule anataka kujua taratibu za TRA Zikoje kuhusu Kodi.
Alishaona msala wa St Jude pale TRA walipokomba 500m yote kwenye account.
Hapa anataka kujua:-
1) Anatakiwa alipe kodi ipi na ipi?
2) Vitabu gani vya mahesabu anatakiwa aandae?
3) Efd risit ni lazima?
Kwa wale wenye ujuzi wa masuala ya shule naomba msaada wenu tafadhali.