Yani mtu kawekeza mamilioni kujenga miundo mbinu na asijue kama atalipa kodi au halipi? pia kapata hadi vibali wizrani lakini asijue vitu vidogo kama hivyo?
Mimi naomba ajira kama Operations managerHabarini Wakuu,
Kuna shule mpya imefunguliwa huko Kinyerezi ambayo itaanza operation officially kuanzia January 2022.
Shule itakuwa ni ya Pre and Primary School mbeleni itakuwa na secondary pia.
kabla ya kwenda ofisi husika za TRA vingunguti, Mwenye shule anataka kujua taratibu za TRA Zikoje kuhusu Kodi.
Alishaona msala wa St Jude pale TRA walipokomba 500m yote kwenye account.
Hapa anataka kujua:-
1) Anatakiwa alipe kodi ipi na ipi?
2) Vitabu gani vya mahesabu anatakiwa aandae?
3) Efd risit ni lazima?
Kwa wale wenye ujuzi wa masuala ya shule naomba msaada wenu tafadhali.
Habarini Wakuu,

Afike ofisi za TRA atapewa utaratibu wote.Habarini Wakuu,
Kuna shule mpya imefunguliwa huko Kinyerezi ambayo itaanza operation officially kuanzia January 2022.
Shule itakuwa ni ya Pre and Primary School mbeleni itakuwa na secondary pia.
kabla ya kwenda ofisi husika za TRA vingunguti, Mwenye shule anataka kujua taratibu za TRA Zikoje kuhusu Kodi.
Alishaona msala wa St Jude pale TRA walipokomba 500m yote kwenye account.
Hapa anataka kujua:-
1) Anatakiwa alipe kodi ipi na ipi?
2) Vitabu gani vya mahesabu anatakiwa aandae?
3) Efd risit ni lazima?
Kwa wale wenye ujuzi wa masuala ya shule naomba msaada wenu tafadhali.
Shukran sana mkuuMkuu nakushauri upate tax consultant yeye ndo atakuwa anakushauri na kukusaidia issues zako za kikodi. Lakini pia usiogope kufika ofisi za TRA kwa elimu zaidi.
Kwa ufupi kodi utakazokuwa unalipa ni;
1. Kodi ya mapato
2. Kodi za ajira (PAYE)
3. Kodi ya zuio kwenye huduma (withholding taxes)
Kwa maelezo zaidi fika ofisi za TRA pamoja na kumpata huyo tax consultant
Ahsante