Chief Wingia
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 2,653
- 4,744
Habari zenu ndugu,
Naomba mwenye mawasiliano ya daktari wa tiba asili nimevunjika mkono hali ni mbaya maana ninivyosikia tiba yao ni ndani ya wiki mbili tu no operation no kuweka chuma na unakuwa fresh.
Wadau wa nenda hospital sitaki kuwasikia maana nimetoka MOI na sitaki kwenda maana wanataka kufanyia operation na kuweka chuma ambavyo mimi sihitaji.
Nipo Dar es Salaam.