Chief Wingia
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 2,653
- 4,744
Mkoa gani mkuuSina mawasiliano ila kuna mtoto alidondoka kwenye mwembe akavunjika mguu, aliungwa kienyeji bila kwenda hosptali.
Japo sina uhakika sana huenda aliteguka tu, ila kwa maelezo yao wanasema alivunjika kabisa.
Dogo yuko vizuri hata kukimbia anakimbia japo mwanzo alikuwa hawezi hata kusimama.
Tanga sehemu gani boss na anaitwa nani?Kuna jamaa mmoja yupo Tanga kule ni kiboko mpaka bombo walimtaka akakataa hilo tatizo dogo sana kwake.
Nipo Dar es salaam nduguHao watu wanaotumia Dawa kuunga Mifupa wapo kila sehemu....!
Sema mkoa uliopo na watu watakusaidia...
Muhimbili kwa nje mbona wapo wamefungua na Viofisi vyao.Nipo Dar es salaam ndugu
Yupi ni mzuri maana wengi naona wa mchongiMuhimbili kwa nje mbona wapo wamefungua na Viofisi vyao.
Moro kihonda yupo huyo mtu.Nipo Dar es salaam ndugu
.....waha wanasaidia sanaaaas....nina ushahidi waendesha boda wa 2 ndugu walikatika mfupa ...wakarudi Kasulu wamerudi wako fresh kabisaaa.....tafuta muha yeyore anakupa contact......ukishindwa njoo DMNipo Dar es salaam ndugu
okComfrey ndio dawa unayotakiwa kuitafuta sijui utapata wapi Kwa sababu Mimi Niko South Africa na IPO.
Kazi zake ni kuunga mifupa na kutia nyama na kukausha vidonda na majeraha ya wazi
Ila,Angalizo kabla ya kuweka katika kidonda ni vema kuhakikisha kimeanza kupona kwani comfrey hufunga kidonda ndani ya muda mfupi.
Kama unapata majani yake yaponde na funga katika hiyo sehemu na bandage.
Kama unayo ktk mfumo wa kiminika tincture paka sehemu iliyovunjika au kidonda
Yap , itafanya kazimkuu but mifupa haijavunjika but mishipa ya fahamu ya mkono wa kulia ndio inashida ndo sababu hata mkono haufanyi chochote ila unahisia zote, hii confrey itasaidia pia? cas kuna ntu alishauri pia
Tanga kijiji fulani njia ya mombasa (nadhani) panaitwa KIBIBONI.Tanga sehemu gani boss na anaitwa nani?
Zhukrani mkuu nilifanya surgery MOI na nilishapona hv npo naendelea na majukumu ya kujenga taifaTanga kijiji fulani njia ya mombasa (nadhani) panaitwa KIBIBONI.
Tanga kijiji fulani njia ya mombasa (nadhani) panaitwa KIBIBONI.