Izi huduma zipo japo kuna watakaohisi tofauti, kuna jamaa alipata ajali ya boda Dodoma, baada ya kuona hospital hakuna maendeleo alikuja rukwa ndani ya siku mbili Yuko fresh kama hajawah kupata ajali

Yap , itafanya kazi
Sema ongeza pia kunywa as tea capscum/cayenne pepper powder as blood thinner and circulation enhance
Make salve out of cayenne with castor oil Kwa ajili ya kuchua Hilo eneo