Naomba kujuzwa tofauti kati ya ubongo na akili

Naomba kujuzwa tofauti kati ya ubongo na akili

Ubongo ni kiungo cha mwili ni kama kabati ndani ya nyumba(inategemea likewekwa nini) na akili ni yale mambo yaliyowekwa kwenye hicho kiungo
 
Ubongo ndo ule utando mweupe ulio kichwani! Lile dubwana jeupe Kama ugali na visehemu vyake lkn akili ni uwezo wa utendaji kazi wa hilo dubwana
 
Unataka kujua tofauti ya miguu na mbio?

Miguu ni viungo vya mwili wakati mbio ni zao la jinsi miguu yako ilivyojishughulisha kutembea
 
Ubongo ni kitu kama uroto ambapo akili IMO humo , na akili inatunzwa na ubongo maana yake akili I ndani ya ubongo
Akili inachanganua ubongo hauchanganui
Akili inatengeneza hisia lakini ubongo unatunza hisia na kuzisambaza ktk mwili
 
Back
Top Bottom