M mapundapetro Member Joined Dec 5, 2016 Posts 38 Reaction score 17 Jan 21, 2021 #1 Habari wakuu napenda kujifunza utofauti upo wapi?
Billie JF-Expert Member Joined Aug 13, 2011 Posts 13,588 Reaction score 22,752 Jan 21, 2021 #2 Ubongo ni kiungo cha mwili ni kama kabati ndani ya nyumba(inategemea likewekwa nini) na akili ni yale mambo yaliyowekwa kwenye hicho kiungo
Ubongo ni kiungo cha mwili ni kama kabati ndani ya nyumba(inategemea likewekwa nini) na akili ni yale mambo yaliyowekwa kwenye hicho kiungo
Behaviourist JF-Expert Member Joined Apr 8, 2016 Posts 39,926 Reaction score 95,626 Jan 21, 2021 #3 Ubongo ni hardware lakini akili ni software
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 32,529 Reaction score 76,691 Jan 21, 2021 #4 Ubongo ndo ule utando mweupe ulio kichwani! Lile dubwana jeupe Kama ugali na visehemu vyake lkn akili ni uwezo wa utendaji kazi wa hilo dubwana
Ubongo ndo ule utando mweupe ulio kichwani! Lile dubwana jeupe Kama ugali na visehemu vyake lkn akili ni uwezo wa utendaji kazi wa hilo dubwana
kilambimkwidu JF-Expert Member Joined Jul 21, 2017 Posts 6,097 Reaction score 7,199 Jan 22, 2021 #5 Unataka kujua tofauti ya miguu na mbio? Miguu ni viungo vya mwili wakati mbio ni zao la jinsi miguu yako ilivyojishughulisha kutembea
Unataka kujua tofauti ya miguu na mbio? Miguu ni viungo vya mwili wakati mbio ni zao la jinsi miguu yako ilivyojishughulisha kutembea
A Ackhery JF-Expert Member Joined Jan 5, 2021 Posts 293 Reaction score 299 Jan 23, 2021 #6 Ubongo ni kitu kama uroto ambapo akili IMO humo , na akili inatunzwa na ubongo maana yake akili I ndani ya ubongo Akili inachanganua ubongo hauchanganui Akili inatengeneza hisia lakini ubongo unatunza hisia na kuzisambaza ktk mwili
Ubongo ni kitu kama uroto ambapo akili IMO humo , na akili inatunzwa na ubongo maana yake akili I ndani ya ubongo Akili inachanganua ubongo hauchanganui Akili inatengeneza hisia lakini ubongo unatunza hisia na kuzisambaza ktk mwili
bad spenko Senior Member Joined Jun 22, 2020 Posts 125 Reaction score 139 Jan 23, 2021 #7 Ungeipeleka hii thread yako kule jamii intelligence ungapata ufafanuz Zaid Sent using Jamii Forums mobile app
Ungeipeleka hii thread yako kule jamii intelligence ungapata ufafanuz Zaid Sent using Jamii Forums mobile app