Naomba kujuzwa uandishi wa anuani kwenye maombi ya kazi kwa mfumo wa Ajira Portal

ANKA

Member
Joined
Mar 31, 2014
Posts
16
Reaction score
7
Hello mambo zenu. Naomba kuuliza, ivi ukiwa kwenye mfumo wa kuomba ajira kwenye portal katika ku apply kazi, zile barua tunazotakiwa kuandika address ya muandikiwa tunaweka ipi? Mfano hapa unaomba ajira
EMPLOYERMuhimbili Orthopaedic Institute (MOI)

Kwahyo address tunajaza ya muhimbili au wapi?

Nahitaji kujua katika hili.

Natanguliza Shukran asanten.
 
Hello mambo zenu. Naomba kuuliza, ivi ukiwa kwenye mfumo wa kuomba ajira kwenye portal katika ku apply kazi, zile barua tunazotakiwa kuandika address ya muandikiwa tunaweka ipi? Mfano hapa unaomba ajira
EMPLOYERMuhimbili Orthopaedic Institute (MOI)

Kwahyo address tunajaza ya muhimbili au wapi?
Nahitaji kujua katika hili. Natanguliza Shukran asanten.
Tangazo la ajira umelizoma ukalieleqa?
Kama application inafanyika kupitia Secretariat ya Ajira, basi maombi yote yanatumwa kwa kutumia address ya Secretariat ya ajira.
Kwenye title ya barua ndio unapaswa kuandika nafasi unayoomba na taasisi unayoomba ukafanye kazi.
Kila la hri mkuu.
 
Cha kufanya Soma tangazo mpaka mwisho wanakuwa wameandika address ya kutuma maombi na copy km ilivyo,na Mara nyingi ajira portal inatumika ya Secretariat ya ajira km alivyosema ndugu hapo juu,Ila km nilivyosema Soma tangazo mpaka mwisho copy km ilivyo bila kuongeza au kupunguza neno
 
Shukran

Ok asante sana
 
Back
Top Bottom