Naomba kujuzwa Ubaya na Uzuri wa Toyota Carina Ti

Naomba kujuzwa Ubaya na Uzuri wa Toyota Carina Ti

mchepuko

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2014
Posts
1,192
Reaction score
1,415
Ndugu wadau

Toyota Carina has a Ti zipo juu sana hapa bongo kwa sasa./ Nimezijaribu naona ni gari nzuri pia hasa kwa ugumu na fuel consumption.

Nataraji kununua moja hivi siku za karibuni....ila naomba maoni yako juu ya agari hii yawe mabaya au mazuri.

1591258198225.png

Toyota Carina Ti
 
Hao beforwad wanakuuzia kwa dollar ngapi na estimation ya ushuru ni million ngapi? na date of manufacture?
 
Ni gari nzuri ila inabidi uwe makini kuna ya cc 1500 na 1800 sasa kama ni ya cc 1800 mafuta inakula 1lts per 8 km, ila ya cc 1500 highway 1lts per 13km na katika city 1lts per 10 km. Ni gumu sana ila ipo chini kidogo kama upo mkoani ila kwa dar safi tu. Ila kama ni mbahili wa mafuta chukua mistubish pajero mini kitu ni cc 660 1lts per 25km.
 
ni gari nzuri ila inabidi uwe makini kuna ya cc 1500 na 1800 sasa kama ni ya cc 1800 mafuta inakula 1lts per 8 km, ila ya cc 1500 highway 1lts per 13km na katika city 1lts per 10 km. Ni gumu sana ila ipo chini kidogo kama upo mkoani ila kwa dar safi tu. Ila kama ni mbahili wa mafuta chukua mistubish pajero mini kitu ni cc 660 1lts per 25km.

mkuu gharaa ya gari hii ni shiling ngapi? Kwa ulaji huo wa mafuta itanifaa.
 
Ni gari nzuri ila inabidi uwe makini kuna ya cc 1500 na 1800 sasa kama ni ya cc 1800 mafuta inakula 1lts per 8 km, ila ya cc 1500 highway 1lts per 13km na katika city 1lts per 10 km. Ni gumu sana ila ipo chini kidogo kama upo mkoani ila kwa dar safi tu. Ila kama ni mbahili wa mafuta chukua mistubish pajero mini kitu ni cc 660 1lts per 25km.
una uhakika hapo kwenye red?
 
Back
Top Bottom