Naomba kujuzwa Ubaya na Uzuri wa Toyota Carina Ti

Naomba kujuzwa Ubaya na Uzuri wa Toyota Carina Ti

mkuu gharaa ya gari hii ni shiling ngapi? Kwa ulaji huo wa mafuta itanifaa.
Kwenye mtandao ni around $ 700 - 1200 inategemeana na milleage (km) iliyotembea na mwaka iliyotengenezwa, mpaka mkononi inaweza kuwa 5 - 8 millioni.
Hii gari ni nzuri ndio habari ya mjini.
 
BF219168_c92bab.jpg


kitu hiyo mkuu imetulia!
Kama ni manual itakuwa nzuri zaidi na uta-enjoy
 
Ni gari nzuri ila inabidi uwe makini kuna ya cc 1500 na 1800 sasa kama ni ya cc 1800 mafuta inakula 1lts per 8 km, ila ya cc 1500 highway 1lts per 13km na katika city 1lts per 10 km. Ni gumu sana ila ipo chini kidogo kama upo mkoani ila kwa dar safi tu. Ila kama ni mbahili wa mafuta chukua mistubish pajero mini kitu ni cc 660 1lts per 25km.
Mini pajero vinasumbua vile
 
Back
Top Bottom