Kamata mkuu hazina shida hizo
kun ahii moja ina cc 1490 inaweza kula kilometa ngapi kwa lita moja?
sasa kama umeshafanya utafiti naumeona inakufaa kwanini unatusumbua tukupe ushauri?
ni gari nzuri ila inabidi uwe makini kuna ya cc 1500 na 1800 sasa kama ni ya cc 1800 mafuta inakula 1lts per 8 km, ila ya cc 1500 highway 1lts per 13km na katika city 1lts per 10 km. Ni gumu sana ila ipo chini kidogo kama upo mkoani ila kwa dar safi tu. Ila kama ni mbahili wa mafuta chukua mistubish pajero mini kitu ni cc 660 1lts per 25km.
una uhakika hapo kwenye red?Ni gari nzuri ila inabidi uwe makini kuna ya cc 1500 na 1800 sasa kama ni ya cc 1800 mafuta inakula 1lts per 8 km, ila ya cc 1500 highway 1lts per 13km na katika city 1lts per 10 km. Ni gumu sana ila ipo chini kidogo kama upo mkoani ila kwa dar safi tu. Ila kama ni mbahili wa mafuta chukua mistubish pajero mini kitu ni cc 660 1lts per 25km.