Sijui kwanini sivutiwi na gari za chini
Kwenye mtandao ni around $ 700 - 1200 inategemeana na milleage (km) iliyotembea na mwaka iliyotengenezwa, mpaka mkononi inaweza kuwa 5 - 8 millioni.mkuu gharaa ya gari hii ni shiling ngapi? Kwa ulaji huo wa mafuta itanifaa.
Acha wivu wa kike.... toa ushauri sio kejeli. Sio lazima uchangie kila uzi
nimeibiwa juzi hii masikini
Kama ni manual itakuwa nzuri zaidi na uta-enjoy
kitu hiyo mkuu imetulia!
mwenzangu unakula nini Siku hizi?Carina Ti ni noma mzee, kuna kijiji nilienda nikakuta greda imenasa kwenye tope, Ti iliivuta hadi ikawaka. Ti sio jembe, ni shamba kabisa
Mini pajero vinasumbua vileNi gari nzuri ila inabidi uwe makini kuna ya cc 1500 na 1800 sasa kama ni ya cc 1800 mafuta inakula 1lts per 8 km, ila ya cc 1500 highway 1lts per 13km na katika city 1lts per 10 km. Ni gumu sana ila ipo chini kidogo kama upo mkoani ila kwa dar safi tu. Ila kama ni mbahili wa mafuta chukua mistubish pajero mini kitu ni cc 660 1lts per 25km.
Gari gari tuSijui kwanini sivutiwi na gari za chini
Carina Ti ni noma mzee, kuna kijiji nilienda nikakuta greda imenasa kwenye tope, Ti iliivuta hadi ikawaka. Ti sio jembe, ni shamba kabisa