Action and Reaction
JF-Expert Member
- Oct 16, 2021
- 1,438
- 1,496
Ndugu wanajamvi napenda kuuliza katika kozi ya IT hasa ngazi ya diploma ugumu upo maeneo gani, Mana dogo anatamani kujua kwani kashachaguliwa chuo fulani jijini Mbeya, So mliosoma hiyo kozi naomba mumsaidie na kumshauri mambo ya kuzingatia nami nitampa asome ushauri wenu!
Kwenu wanajamii.
Kwenu wanajamii.