Naomba kujuzwa ukweli kuhusu Kopa Fasta

selemangrace346

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2018
Posts
463
Reaction score
634
Wakuu kheri ya Mwaka mpya kwenu[emoji113].

Asee wakuu ndugu yenu yamenikuta ya mwezi wa kwanza yani uhitaji wa pesa ni mkubwa kuliko maelezo na katika pitapita zangu mtandaoni nmekutana na tangazo la taasisi moja wanajiita KOPA FASTA.

So nina omba kujua kama kuna member yeyote wa Jf amewahi kopeshwa na hii taasisi ya mkopo online maana according to maelezo yao package zao kidogo zinavutia.
 
Kwanza Hapo tuliza kwanza kichwa chako hapo kuna kopafasta ya ukweli na kopafasta ya uongo so kwa ushauli usiingie online Kama upo dar nenda oficin kwao.
Okay, nashukuru mwamba sema nipo mkoani ntaagiza mtu aende japo nipate adress zao.
 
Hakuna anayekopesha mtandaoni katika nchi hii. Mtaibiwa.
Na kama yupo basi hatahitaji kishika uchumba (toa pesa kwanza)
 
Hakuna anayekopesha mtandaoni katika nchi hii.
Mtaibiwa.
Na kama yupo basi hatahitaji kishika uchumba (toa pesa kwanza)
Jifunze kuwa msomaji Kama huna Cha kuchangia watu tunakopesheka pesa nyingi tu hata wewe naweza kupa link ukajaza taarifa zako ukaanza na 5k mkopo unarudisha 5880tzs
 
Jifunze kuwa msomaji Kama huna Cha kuchangia watu tunakopesheka pesa nyingi tu hata wewe naweza kupa link ukajaza taarifa zako ukaanza na 5k mkopo unarudisha 5880tzs
Watu wa cyber crimes, kamateni huyu atakuwa ni mmojawapo wa hayo majambazi. Watu wengi sana wamelia na huu wizi. Wewe unasema ni halali?
 
Jifunze kuwa msomaji Kama huna Cha kuchangia watu tunakopesheka pesa nyingi tu hata wewe naweza kupa link ukajaza taarifa zako ukaanza na 5k mkopo unarudisha 5880tzs
Nipe link au maelezo zaidi mkuu nianze kopa mtandaoni ukiacha m_pawa ambayo hua napata na branch
 
Don't try this at home,hao Ni vibaka usijaribu,
 
Watu wa cyber crimes, kamateni huyu atakuwa ni mmojawapo wa hayo majambazi. Watu wengi sana wamelia na huu wizi. Wewe unasema ni halali?
Kuna watu mna shida Sasa unatapeliwaaje na wewe ndo unakopa... Mfano branch hutoi hela Ila wao ndo wanakupa hela kadiri unavolipa unapanda kiwango... Hapo utapeli upo wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…