selemangrace346
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 463
- 634
Wakuu kheri ya Mwaka mpya kwenu[emoji113].
Asee wakuu ndugu yenu yamenikuta ya mwezi wa kwanza yani uhitaji wa pesa ni mkubwa kuliko maelezo na katika pitapita zangu mtandaoni nmekutana na tangazo la taasisi moja wanajiita KOPA FASTA.
So nina omba kujua kama kuna member yeyote wa Jf amewahi kopeshwa na hii taasisi ya mkopo online maana according to maelezo yao package zao kidogo zinavutia.