Naomba kujuzwa upatikanaji wa dagaa nyama wa Zanzibar

Mimi nipo Dar nauza hao dagaa wa nyama kutoka mafia nauza debe sh 55000 no yangu 0746527127
 
Hv ungekaa bila kukoment mkuu ungepungukiwa nini mbona wengine wamekomti vzr kila mtu anayeuliza jambo ina maana anasumbua watu! !!
Umeenda Tunduma na Mbeya wamekupiga swaga madalali wako unakuja kutusumbua hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…