Sijajua kama unayaongea haya kwa uzoefu au ushabiki.Hawa kuku chotara sasso na Kuroiler wametengenezwa kwa minajili ya kutumika kama kuku wa nyama. Ndiyo sababu wanakula sana chakula na huwa na miili mikubwa ndani ya muda mfupi.
Bahati mbaya sana ni kuwa wasambazaji wa kuku hawa hupotosha au kutowaambia ukweli wafugaji. Matokeo yake ni kuwa wafugaji wengi zaidi wa kuku hapa nchini bila kujua hufuga kuku hao wa nyama huku wakiwa na matarajio ya kupata biashara ya mayai.
Kuna training ilifundishwa kuwa kuku hawa hutaga mayai kati ya 85 - 95 hivi kwa mwaka. Hapo usitegemee kupata faida hata kidogo.
Kweli kabisa hata mimi nafuga kroiler wanaangusha mayai ni balaaSijajua kama unayaongea haya kwa uzoefu au ushabiki.
Ili useme juu ya utagaji wao inapaswa tuwe na mfano wa kulinganisha nao. Je unaposema hawana utagaji mzuri, utagaji wao ni mbaya kulinganisha na aina ipi?
Hao waliokwambia kuku anataga mayai 95 tu kwa mwaka, wanazungumzia mwaka wa utagaji au mwaka wa maisha ya kuku? Maana zitakuwa ni akili za ajabu kabisa kumhesabia kuku kataga mayai tisini kwa mwaka bila kuzingatia kuwa anaanza kutaga akifikisha miezi mitano.
Mimi acha nikupe uzoefu, maana Kuroiler ninawafuga. Hawa kuku kwa kuwalinganisha na kuku wa kienyeji wao wanataga zaidi, il ukiwalinganisha na kuku wa mayai hawafikii uwezo wao wa kutaga. Lakini kuna jambo la kujifunza kuwa, hawa kuku wa mayai wanapewa suppliments nyingi sana kufikia huo utagaji, kitu ambacho hatufanyi kwa Kuroiler na kienyeji.
Jambo la pili nikupe maarifa na uzoefu, Kuroiler wanataga kati ya mwezi wa nne na nusu kuelekea wa tano, jambo ambalo halitokei kwa kienyeji na kuku wa mayai. Layers hutaga miezi 6 na kienyeji ni mwezi wa 6 kuelekea 7 na pengine 8 kabisa kama chakula ni haba.
Kuhusu ukubwa wa mayai, kuroiler anataga mayai makubwa kuliko kuku wa mayai. Lakini labda swali la kujiuliza ikiwa unaamini vinginevyo au una experience tofauti ni JE, HAO KUKU ULIONAO NI KUROILER AU ALIYEKUUZIA NDIO KAKWAMBIA NI KUROILER?
Shida moja ni kuwa, Kuroiler wana rangi sawa tu na kuku wa kienyeji, hivyo kuwatambua uhalisia wao si rahisi kwa hiyo watu wengi huuuziwa kuku wasiowajua na huishia kupata famba.
Asee. Hawa sasso mi nawasikia tu. Nyama yao ni tamu? Kuroiler ndio ninawafuga, wanashawishi kuongeza stock kwa kweli. Tatizo watu wengi wamejiita wauzaji wa Kuroiler, ni shida sokoni.Kweli kabisa hata mimi nafuga kroiler wanaangusha mayai ni balaa
Kuku aina ya saso/sasu wanakuwa na maumbo makubwa utagaji wa mayai kwao ni hafifu sana wana uzito na hivyo wanafaa kwa biashara ya nyama unaweza uza Sasu mmoja hadi kwa 40,000tsh na mtu akakubali tu maana wana uzito mkubwa.
Swali nje ya mada.Hawa kuku chotara sasso na Kuroiler wametengenezwa kwa minajili ya kutumika kama kuku wa nyama. Ndiyo sababu wanakula sana chakula na huwa na miili mikubwa ndani ya muda mfupi.
Bahati mbaya sana ni kuwa wasambazaji wa kuku hawa hupotosha au kutowaambia ukweli wafugaji. Matokeo yake ni kuwa wafugaji wengi zaidi wa kuku hapa nchini bila kujua hufuga kuku hao wa nyama huku wakiwa na matarajio ya kupata biashara ya mayai.
Kuna training ilifundishwa kuwa kuku hawa hutaga mayai kati ya 85 - 95 hivi kwa mwaka. Hapo usitegemee kupata faida hata kidogo.
Interest yangu iko kwa kuku wa kienyeji.Sijajua kama unayaongea haya kwa uzoefu au ushabiki.
Ili useme juu ya utagaji wao inapaswa tuwe na mfano wa kulinganisha nao. Je unaposema hawana utagaji mzuri, utagaji wao ni mbaya kulinganisha na aina ipi?
Hao waliokwambia kuku anataga mayai 95 tu kwa mwaka, wanazungumzia mwaka wa utagaji au mwaka wa maisha ya kuku? Maana zitakuwa ni akili za ajabu kabisa kumhesabia kuku kataga mayai tisini kwa mwaka bila kuzingatia kuwa anaanza kutaga akifikisha miezi mitano.
Mimi acha nikupe uzoefu, maana Kuroiler ninawafuga. Hawa kuku kwa kuwalinganisha na kuku wa kienyeji wao wanataga zaidi, il ukiwalinganisha na kuku wa mayai hawafikii uwezo wao wa kutaga. Lakini kuna jambo la kujifunza kuwa, hawa kuku wa mayai wanapewa suppliments nyingi sana kufikia huo utagaji, kitu ambacho hatufanyi kwa Kuroiler na kienyeji.
Jambo la pili nikupe maarifa na uzoefu, Kuroiler wanataga kati ya mwezi wa nne na nusu kuelekea wa tano, jambo ambalo halitokei kwa kienyeji na kuku wa mayai. Layers hutaga miezi 6 na kienyeji ni mwezi wa 6 kuelekea 7 na pengine 8 kabisa kama chakula ni haba.
Kuhusu ukubwa wa mayai, kuroiler anataga mayai makubwa kuliko kuku wa mayai. Lakini labda swali la kujiuliza ikiwa unaamini vinginevyo au una experience tofauti ni JE, HAO KUKU ULIONAO NI KUROILER AU ALIYEKUUZIA NDIO KAKWAMBIA NI KUROILER?
Shida moja ni kuwa, Kuroiler wana rangi sawa tu na kuku wa kienyeji, hivyo kuwatambua uhalisia wao si rahisi kwa hiyo watu wengi huuuziwa kuku wasiowajua na huishia kupata famba.
40000/= amekuwa mbuzi acha kupotoshaKweli kabisa hata mimi nafuga kroiler wanaangusha mayai ni balaa
Kuku aina ya saso/sasu wanakuwa na maumbo makubwa utagaji wa mayai kwao ni hafifu sana wana uzito na hivyo wanafaa kwa biashara ya nyama unaweza uza Sasu mmoja hadi kwa 40,000tsh na mtu akakubali tu maana wana uzito mkubwa.
Interest yangu iko kwa kuku wa kienyeji.
Swali,
Niwafanye nn wawe na miili mikubwa ndan ya muda mfupi na watage sana?
NimekuelewaUkubwa na uzito wa kuku unategemeana sana na mbegu ya kuku, kuna baadhi ya mbegu za kuku hata uwalishe vipi hawawi wakubwa, ili upate matokeo bora lazma upate mbegu inayoeleweka ndio maana wengi wanakimbilia kufuga hizi breed chotara kama sasso na kuroiler ili wafikie malengo yao ya kuwafanya kuku wawe wakubwa na wazito.
Otherwise unachoweza kufanya ni kutafuta vifaranga ambao wazazi wao wana miili mikubwa na uzito mkubwa ndio utaweza kufikia malengo yako
Kweli hata wangu wanataga mayai makubwaHawa kuku wanataga vizuri sana kama utaweza kucontrol chakula, ukiwapa chakula kingi kutaga itakuwa kwa mbinde tena mayai makuubwa yenye viini hadi vitatu.
Mkuu, umafafanua vzr.. Ukiweza em tupia picha, maana nahisi kuna watu washauziwa 'mbuzi kwny junia'🙄Sijajua kama unayaongea haya kwa uzoefu au ushabiki.
Ili useme juu ya utagaji wao inapaswa tuwe na mfano wa kulinganisha nao. Je unaposema hawana utagaji mzuri, utagaji wao ni mbaya kulinganisha na aina ipi?
Hao waliokwambia kuku anataga mayai 95 tu kwa mwaka, wanazungumzia mwaka wa utagaji au mwaka wa maisha ya kuku? Maana zitakuwa ni akili za ajabu kabisa kumhesabia kuku kataga mayai tisini kwa mwaka bila kuzingatia kuwa anaanza kutaga akifikisha miezi mitano.
Mimi acha nikupe uzoefu, maana Kuroiler ninawafuga. Hawa kuku kwa kuwalinganisha na kuku wa kienyeji wao wanataga zaidi, il ukiwalinganisha na kuku wa mayai hawafikii uwezo wao wa kutaga. Lakini kuna jambo la kujifunza kuwa, hawa kuku wa mayai wanapewa suppliments nyingi sana kufikia huo utagaji, kitu ambacho hatufanyi kwa Kuroiler na kienyeji.
Jambo la pili nikupe maarifa na uzoefu, Kuroiler wanataga kati ya mwezi wa nne na nusu kuelekea wa tano, jambo ambalo halitokei kwa kienyeji na kuku wa mayai. Layers hutaga miezi 6 na kienyeji ni mwezi wa 6 kuelekea 7 na pengine 8 kabisa kama chakula ni haba.
Kuhusu ukubwa wa mayai, kuroiler anataga mayai makubwa kuliko kuku wa mayai. Lakini labda swali la kujiuliza ikiwa unaamini vinginevyo au una experience tofauti ni JE, HAO KUKU ULIONAO NI KUROILER AU ALIYEKUUZIA NDIO KAKWAMBIA NI KUROILER?
Shida moja ni kuwa, Kuroiler wana rangi sawa tu na kuku wa kienyeji, hivyo kuwatambua uhalisia wao si rahisi kwa hiyo watu wengi huuuziwa kuku wasiowajua na huishia kupata famba.
Mkuu, kama mi nahataji kufuga shambani kwangu kwa ajili ya kula (nyama), unashauri sasso badala ya kroiler, au?Kweli kabisa hata mimi nafuga kroiler wanaangusha mayai ni balaa
Kuku aina ya saso/sasu wanakuwa na maumbo makubwa utagaji wa mayai kwao ni hafifu sana wana uzito na hivyo wanafaa kwa biashara ya nyama unaweza uza Sasu mmoja hadi kwa 40,000tsh na mtu akakubali tu maana wana uzito mkubwa.
Mkuu, wastani wa uzito wa hao kroiler ukoje?Asee. Hawa sasso mi nawasikia tu. Nyama yao ni tamu? Kuroiler ndio ninawafuga, wanashawishi kuongeza stock kwa kweli. Tatizo watu wengi wamejiita wauzaji wa Kuroiler, ni shida sokoni.
Ha ha ha.. Mkuu, unajua bei ya kuchi pure?40000/= amekuwa mbuzi acha kupotosha