M MR MONEY08 Member Joined Oct 21, 2022 Posts 62 Reaction score 30 Apr 2, 2024 #1 Habarini wanajamvi ningeenda kujua, eti kupata kazi za hotelini Zanzibar lazima ujuane na kiongozi yeyote? Je, kipindi cha low season kuna hotel ambazo hazifungwi? Ni zipi?
Habarini wanajamvi ningeenda kujua, eti kupata kazi za hotelini Zanzibar lazima ujuane na kiongozi yeyote? Je, kipindi cha low season kuna hotel ambazo hazifungwi? Ni zipi?