Naomba kujuzwa utaratibu wa mikopo ya wastaafu wa (PSSSF) Benki ya Posta

Naomba kujuzwa utaratibu wa mikopo ya wastaafu wa (PSSSF) Benki ya Posta

sacred wall

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2017
Posts
804
Reaction score
1,322
Jamani utaratibu wa kupata mkopo Benki ya Posta ukoje kwa wastaafu wa PSSSF? Hasa kuhusu kukopa zaidi ya 40% ya pensheni ya wastaafu kwa sasa? Bado kukopa zaidi ya 40% ipo?
 
Mtu unakopa mpk mafao yako,ndio maisha ya utumishi hayo.
 
Back
Top Bottom