S sacred wall JF-Expert Member Joined Aug 9, 2017 Posts 804 Reaction score 1,322 Jan 25, 2021 #1 Jamani utaratibu wa kupata mkopo Benki ya Posta ukoje kwa wastaafu wa PSSSF? Hasa kuhusu kukopa zaidi ya 40% ya pensheni ya wastaafu kwa sasa? Bado kukopa zaidi ya 40% ipo?
Jamani utaratibu wa kupata mkopo Benki ya Posta ukoje kwa wastaafu wa PSSSF? Hasa kuhusu kukopa zaidi ya 40% ya pensheni ya wastaafu kwa sasa? Bado kukopa zaidi ya 40% ipo?
wa kupuliza JF-Expert Member Joined Jun 15, 2012 Posts 15,216 Reaction score 37,757 Jan 27, 2021 #2 Mtu unakopa mpk mafao yako,ndio maisha ya utumishi hayo.