the_legend
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 1,611
- 7,063
Kipindi hicho mpaka inaingia road nlitumia 13M na ushee. Pia kumbuka mpaka nikaamua kuiuza ilishaninyonyoa parefu kwenye matengenezo.Niliwahi kuipeleka mpaka kwa wachina, ila baada ya muda kidogo mambo ni yaleyale.Gari ya 12m mwaka 2015 umeiuza 2020... 6m bado unaona ni hasara watu mna moyo aisee.
Anyways, kila mtu na bahati yake. Sisemi niliyoyapitia kwenye hizo Noah ni lazima iwe hivyo kwa kila mtumiaji, ndio maana wengine bado wanazitumia. Anaetaka kuzinunua anunue tu, sababu mwisho wa siku kila mtu ana maamuzi binafsi juu ya pesa zake.
Ile 6M sahivi nimeiingiza kwenye kununua mazao mkoani na kuja kuuza hapa jiji la Kunenge. Sina muda mrefu tangu nianze hili, ila so far so good. Pesa inaonekana