Habari wakuu! Naomba kujuzwa ni wapi kwa hapa dsm naweza kupata vifungashio (packaging) kwa ajili ya mayai ya kware na kuku ili niweze peleka supermarket.
Natanguliza shukurani.
wako wanaouza mifuko pale kariakoo shimoni kisha wanawapelekea watu wa kuprint wanaprintiwa
details zao nami naweza kukuprintia kama ukiniletea iyoplastic bag mkuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.