Naomba kujuzwa, vifungashio vya mayai ya Kware

Naomba kujuzwa, vifungashio vya mayai ya Kware

TO2004

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2013
Posts
540
Reaction score
219
Habari wakuu! Naomba kujuzwa ni wapi kwa hapa dsm naweza kupata vifungashio (packaging) kwa ajili ya mayai ya kware na kuku ili niweze peleka supermarket.
Natanguliza shukurani.
 
unahitaji mifuko au mabox ambayo yako empty?

wako wanaouza mifuko pale kariakoo shimoni kisha wanawapelekea watu wa kuprint wanaprintiwa
details zao nami naweza kukuprintia kama ukiniletea iyoplastic bag mkuu
 
Back
Top Bottom