Naomba kujuzwa vigezo vya kujiunga na Chuo cha michezo cha Mallya

Naomba kujuzwa vigezo vya kujiunga na Chuo cha michezo cha Mallya

A.Ngindo

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
276
Reaction score
101
Habarini wana jukwa,

Naomba Mwenye ufahamu wa vigezo vinavyo hitajika kujunga na chuo cha michezo cha Mallya na cozi mbali mbali zitolewazo anisaidie nimetamani kufahamu.
 
Habarini wana jukwa,Naomba Mwenye ufahamu wa vigezo vinavyo hitajika kujunga na chuo cha michezo cha mallya na cozi mbali mbali zitolewazo anisaidie nimetamani kufahamu
Usiwe tu na Sifa za Uwezo mdogo wa Kufundisha aliona Kocha wa Simba SC Pablo Franco Martin.
 
Back
Top Bottom