Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
Hawana posho hawana madili na mwisho husoma tu magazeti ofisiniKazi ya Kifala sana hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawana posho hawana madili na mwisho husoma tu magazeti ofisiniKazi ya Kifala sana hii
Nisaidie nahitaji kuhamia huko.Nyoosha maelezo ili usaidiwe. Mimi hapa ni Mdhibiti wa huo ubora mashuleni. Nina uzoefu mkubwa! Ningekusaidia. Unataka kuomba hiyo nafasi?
Ni kazi fulani ya kushinda tu ofisini kuanzia asubuhi mpaka jioni, huku mkitumia muda mwingi kupiga soga, kuperuzi kwenye mitandao, kusikiliza mziki na kucheza gemu.
Mara moja moja gari likiwa na mafuta ya kutosha, ndiyo huwa tunaenda kuwakagua walimu mashuleni.