Nyoosha maelezo ili usaidiwe. Mimi hapa ni Mdhibiti wa huo ubora mashuleni. Nina uzoefu mkubwa! Ningekusaidia. Unataka kuomba hiyo nafasi?
Ni kazi fulani ya kushinda tu ofisini kuanzia asubuhi mpaka jioni, huku mkitumia muda mwingi kupiga soga, kuperuzi kwenye mitandao, kusikiliza mziki na kucheza gemu.
Mara moja moja gari likiwa na mafuta ya kutosha, ndiyo huwa tunaenda kuwakagua walimu mashuleni.