Naomba kujuzwa wanapouza chaja za simu

mr.general

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2014
Posts
989
Reaction score
610
Naomba kujuzwa wanapouza chaja za simu kwa bei ya jumla,kwa ajili ya biashara yangu.
Nisaidieni kunijuzwa chimbo wanalouza charger za simu.
Shukrani
 
Kwa dar nenda kariakoo mkuu, na charger zina tofautiana. Tafuta mzoefu uende nae.

Ila kama ni android, nunua USB za oraimo, Vichwa tafuta vyenye tundu 2
 
Naomba kujuzwa wanapouza chaja za simu kwa bei ya jumla,kwa ajili ya biashara yangu.
Nisaidieni kunijuzwa chimbo wanalouza charger za simu.
Shukrani
Ningekupa ila watu wa jf hamko siriaz kabisa. Katafute kariakoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…