Naomba kujuzwa zaidi kuhusu gari aina ya Mazda RX 8

Mnataka Gari zenye speed ili mkamkimbize nani?
 
Hizi gari huwa zinazishanga mno unakuta ni cc 1300 alafu ina gear 6 manual transmission aisee hiyo ni hatari Kwa mtu wa fujo barabaran
 
TATIZO lipo Kwa watu wa IST unakuta muda wote wanahangaika Tu barabaran ndiyo maana jamaa kaona Bora awakomeshe na Mazda Rx-8
Hahah vijana wa- ST wana-jimwambafai acha wanyooshwe vzr mkuu.
 
Brother, kama una hela na una uhakika wa kuagiza spea, na huna mpango wa kuiuza, nunua kitu roho inapenda....

Ila kama pochi imekonda, baki tu huku kwenye common cars za Toyota ambazo utafikiri tulilogwa nazo...
 
Brother, kama una hela na una uhakika wa kuagiza spea, na huna mpango wa kuiuza, nunua kitu roho inapenda....

Ila kama pochi imekonda, baki tu huku kwenye common cars za Toyota ambazo utafikiri tulilogwa nazo...
Hata Mimi huwa nawaza Sana kuhusu hilo Bora ununue kitu roho inapenda kuliko kutishwa na watu kuhusu spare na ulaji waafuta..
Sometimes unakuta mtu anauliza kuhusu ulaji wa mafuta Kwa gari za cc 1490 kitu ambacho kawaida hiyo gari ni economy.
Huku mtaani kuna watu ni professional wa kutisha wenzio kuhusu Magari na spare parts
 
Kuna magari yana ladha tamu sana.....basi watu wenye IST zao wanakuja kuwatisha watu....
Kama pesa ipo, kula kitu roho inapenda...

Siyo kila mtu TOYOTA utafikiri sare ya Secondary ya KATA....
 
Hayo ni mateso sasa ili idumu mpaka mahale wa speed usome kwenye red! Duh tutakufa na speed sasa
 
Hahaha asante mkuu mungu yupo usijali na wewe utavuta chombo yako siku...hii gari aisee sikujua kama itakuwa na ugumu namna hii ila sio mbaya ntaishi nayo tu
 
Mkuu, kwanza kilicho nileta hapa ni kukupongeza kwa kumiliki mkoko in town.
Na kwakuwa sina la kukushauri, basi ebu agiza whatever-Vant kubwa ili ujipongeze na kisha lipia mwenyewe alafu bas....
Hahaha hiki ni chombo cha usafiri sio gari mkuu..yaani nimenunua Toyota mpaka nijipongeze na Kvant je siku nikinunua gari si Hennesey itahusika jaman😂😂
 
1km kwa 8liters! Hilo ni gari au ni kifaru cha jeshi?
Maana yake ni kwamba 100km inaficha 800ltrs ama pipa4?
Haiwezekani na hakuna gari la hivyo na si Tz tu, halipo duniani.
Kweli aisee nimekosea kuandika...ni kilometa 6 hadi nane kwa lita moja
 
Brother, kama una hela na una uhakika wa kuagiza spea, na huna mpango wa kuiuza, nunua kitu roho inapenda....

Ila kama pochi imekonda, baki tu huku kwenye common cars za Toyota ambazo utafikiri tulilogwa nazo...
Hahah sawa nilitaka nibadilishe ladha tu Toyota nimezitumia tangu nianze kujitegemea mwenyewe..nimeona kulikk kubaki kwenye Toyota tu always bora nibadili ladha ofcourse namiliki Toyota pia ila nataka pia niwe na hiyo Mazda
 
Hahaha hiki ni chombo cha usafiri sio gari mkuu..yaani nimenunua Toyota mpaka nijipongeze na Kvant je siku nikinunua gari si Hennesey itahusika jaman[emoji23][emoji23]
Mkuu ebu naomba nikusamehe..
Kuna waTanzania hatjawahi hata kumiliki basi kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…