S Stone killer Senior Member Joined Mar 21, 2023 Posts 101 Reaction score 192 Mar 28, 2023 #1 Habari wanajamvi, Samahani naomba kujua kuhusu mashine ya kupasua kokoto, namna inavyofanya kazi, uwezo na bei yake, yeyote mwenye kujua tafadhali msaada Huwa naiwaza sana hii kitu
Habari wanajamvi, Samahani naomba kujua kuhusu mashine ya kupasua kokoto, namna inavyofanya kazi, uwezo na bei yake, yeyote mwenye kujua tafadhali msaada Huwa naiwaza sana hii kitu
Mpwayungu Village JF-Expert Member Joined Jul 21, 2021 Posts 14,540 Reaction score 30,875 Mar 28, 2023 #2 Ngoja waje, ila mimi pia navutiwa na biashara ya kokoto
S Stone killer Senior Member Joined Mar 21, 2023 Posts 101 Reaction score 192 Mar 28, 2023 Thread starter #3 Riyan said: Ngoja waje, ila mimi pia navutiwa na biashara ya kokoto Click to expand... Naiaminia sana hii
Riyan said: Ngoja waje, ila mimi pia navutiwa na biashara ya kokoto Click to expand... Naiaminia sana hii
C Cennet Senior Member Joined Mar 4, 2024 Posts 185 Reaction score 148 Mar 23, 2024 #4 Kupasua kokoto dahh!