Sasa Mimi unaniachaje huku maporini ?Naomba koneksheni na mie twende wote huko....
Baki na mkopo wako, we si mchoyo.....Sasa Mimi unaniachaje huku maporini ?
Ndugu ,tafadhali naomba usimuite demu utanikasirisha ,fanya kumuita Evelyn Salt ila pia usimpeleke huko nitampeleka mwenyewe muda ukifikaHuyuu dem nambeba kaka
Hapana mbona kiasi chako na Cha kufurahia nilikitenga kabisa ,nikawa nasikilizia unambie siku Fulani nije Mbeya tumeet ila ufaidi kibaridi Cha hukuBaki na mkopo wako, we si mchoyo.....
Sawa nina ndugu huko ila simwamini sanaUna mtaji ? Au profession ambayo ni marketable kwa Botswana? Unaenda kufanya nn haswa ? Au vibarua ? !!! Fanya research vizuri !
Kama kule walimu wa kiswahili wanaweza kutoboa au Md's ! Vinginevyo sidhani, uwe na connection, make sure una visa na vibali vyote vya kuajiriwa kule!
Tzc bado ni nchi ya maziwa na asali kama unazichanga karata zako vizuri ! Think twice kabla ya kufanya maamuzi !
Sawa mkuu samahan sanaNdugu ,tafadhali naomba usimuite demu utanikasirisha ,fanya kumuita Evelyn Salt ila pia usimpeleke huko nitampeleka mwenyewe muda ukifika
Sawa kabisa ,wewe ni muungwana ,yameisha kaka .Sawa mkuu samahan sana