Naomba kujuzwa zaidi kuhusu nchi ya Botswana

Hammer11

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2024
Posts
1,518
Reaction score
2,174
Wakuu mimi nikijana mpambanaji kiukweli mm ni Mtanzania halisi kabisa.

Kwa sasa niko huku 🇰🇪 Kenya ila maisha haya kwa Ruto sijaridhika wazee mm kwa haraka nimefikiria Botswana 🇧🇼

Kwa sababu ni nchi ya ndoto yangu huwa naipenda nimepanga januari nipite kwa mama niende mpaka Zambia and then niingie Botswana wanajua hii nchi nasoma maoni yenu ni hiloo wakuu poleni kwa usumbufu ni kujifunza tuu
 
Una mtaji ? Au profession ambayo ni marketable kwa Botswana? Unaenda kufanya nn haswa ? Au vibarua ? !!! Fanya research vizuri !

Kama kule walimu wa kiswahili wanaweza kutoboa au Md's ! Vinginevyo sidhani, uwe na connection, make sure una visa na vibali vyote vya kuajiriwa kule!

Tzc bado ni nchi ya maziwa na asali kama unazichanga karata zako vizuri ! Think twice kabla ya kufanya maamuzi !
 
Sawa nina ndugu huko ila simwamini sana
 
Back
Top Bottom