ABDULLAH1234 New Member Joined Sep 4, 2022 Posts 1 Reaction score 0 Sep 4, 2022 #1 Habari zenu waungwana, Naomba msaada wa kujuzwa ni vifaagani muhimu nahitaji ili kuanza kijiwe changu cha ufundi Selemala na bei ya tool husika ili niweze kuandaa badget.
Habari zenu waungwana, Naomba msaada wa kujuzwa ni vifaagani muhimu nahitaji ili kuanza kijiwe changu cha ufundi Selemala na bei ya tool husika ili niweze kuandaa badget.